Kuhusu Mkopo wa Wafanyakazi
Pata mikopo ya haraka na salama ya binafsi ukiwa mfanyakazi wa serikali au sekta binafsi. Kupitia chaguzi rahisi za marejesho na viwango vya chini vya riba, Mikopo yetu kwa Wafanyakazi inafaa kwa kushughulikia mahitaji ya dharura, ada za shule, au miradi binafsi.
Vigezo vya kupata Mkopo wa Wafanyakazi
Awe na nakala ya kitambulisho cha Taifa
Awe na nakala ya kitambulisho cha kazi
Taarifa ya benki ya miezi sita (6)
Stakabadhi za mishahara za miezi mitatu
Nakala ya mkataba wa ajira (Wafanyakazi wa sekta binafsi)
Lazima awe na mdhamini
Faida za Mkopo wa Wafanyakazi
Uidhinishaji Haraka
Riba Nafuu
Urahisi wa Marejesho
Uchakataji wa mkopo kwa kasi ili kukusaidia kushughulikia dharura na mahitaji ya haraka.
Viwango vya riba vinavyoweza kumuduwa pamoja na makato ya kila mwezi yasiyo na mzigo.
Lipa kidogo kidogo kwa miezi kadhaa kwa urahisi, kwani unakopeshwa kulingana na ajira yako na uthabiti wa kipato chako.
Wasiliana Nasi
-
Mwenge, Mkabala na Chuo Kikuu cha Tumaini
S.L.P 1234, Dar es Salaam, Tanzania -
+255 743 771 258
- info@upliftmicrofinance.co.tz
Kipeperushi
Tazama Kipeperushi kwa mwongozo rahisi wa kusoma kuhusu huduma zote tunazotoa.
